Kiongozi
Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake
kivuli la Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo
alilolitangaza bungeni baada ya Maswali na Majibu.
Waliotangazwa
Katika Orodha hiyo ni Pamoja na;
Wizara ya
Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri –
Jaffar Michael
Naibu Waziri
– Joseph Nkundi na Ruth Mollel
Wizara ya
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri – Ali
Saleh Abdalla
Naibu Waziri
– Pauline Gekul
Ofisi ya
Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri –
Esther Bulaya
Naibu –
Yusuph Makame na Maftah Abdalla
Wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri –
Magdalena Sakaaya Naibu
Waziri –
Emmaculate Swari
Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Inj. James
Mbatia
Naibu Waziri
Willy Kombucha
Wizara ya
Fedha na Mipango
Waziri –
Halima Mdee
Naibu Waziri
– David Silinde
Wizara ya
Nishati na Madini
Waziri –
John Mnyika
Naibu Waziri
– John Heche
Wizara ya
Katiba na Sheria Waziri
Tundu Lissu
Naibu
Waziri
Abdalla Mtolela
Waziri wa
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri –
Peter Msigwa
Naibu Waziri
– Riziki Shaghal
Wizara ya
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri –
Juma Omari
Naibu Waziri
Mwita Waitara
Wizara ya
Mambo ya Ndani
Waziri –
Godbless Lema
Naibu Waziri
Masoud Abdalla
Wizara ya
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri –
Wilfred Lwakatare
Naibu Waziri
– Salum Mgoso
Wizara ya
Maliasili na Utalii
Waziri
Esther Matiko
Naibu
Waziri– Cecilia Pareso
Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri
Anthony Komu
Naibu Waziri
Cecil Mwambe
Wizara ya
Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri –
Suzan Lyimo
Naibu Waziri
Dkt. Ali Suleiman Yusuph
Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri –
Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri
Zubeda Sakul
Wizara ya
Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri –
Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri
– Devotha Minja
Wizara ya
Maji na Umwagiliaji
Waziri
–Hamidu Hassan
Naibu
Waziri– Peter Lijualikali
No comments:
Post a Comment