Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakihamisha vitendea kazi vyao katika katika jengo waliokuwa wakilitumia Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto kuhamisha ofisi zao na kuliacha kwa ajili ya matumizi ya wodi ya wazazi.
KAMPUNI YA AIRTEL YAHITIMISHA KAMPENI YA UPIGE MWINGI MPAKA AFCON
-
Meneja Mahusiano kutoka Airtel, Jackson Mbando akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo Mei 09, 2024 wakati akiendesha droo ya
mwisho y...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment