Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 5, 2016

MWENYEKITI WA CCM, JAKAYA KIKWETE AWASILI SINGIDA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA CCM

 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida , kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika leo mjini Singida.


 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili mjini Singida , kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika leo mjini Singida.


 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili mjini Singida , kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika leo mjini Singida.


 Akina mama wakicheza ngoma mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete (kushoto).


 Kikwete akiwapungia mkono wananchi
 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 Kikwete akiwa na Nape, Kone na Kinana baada ya kuwasili
 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi.
 Mke wa Rais, Salma Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi
Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kumlaki Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete mjini Singida.

No comments:

Post a Comment