Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ubungo,
Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu leo, baada yake kujumuishwa kwenye kesi ya Shambulio la Kudhuru
Mwili inayowakabili wabunge wengine wa CHADEMA, Halima
Mdee, Mwita Waitara na
madiwani kadhaa wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
CHANZO: JAMII FORUMS
No comments:
Post a Comment