Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 8, 2013

HAYA NDO MAPANGA NA VITU VINGINE WALIVYO KAMATWA NAVYO VIJANA 11WAKIWA KATIKA mafunzo ya Al Shabaab na Al Qaeda

1 
Stori ambayo ilishika namba 1 kwenye habari 10 za AMPLIFAYA ya Clouds FM October 7 2013 ni hii ya Polisi Mtwara kukamata vijana 11 ambao walikua wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye cd za magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al Qaeda.
Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.
2 3

4 5 6

No comments:

Post a Comment