Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 13, 2014

BREAKING NEWSS:::MH. SAMIA SULUHU ASHINDA MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA


Mh.Samia Suluhu amekuwa Makamu Mwenyekiti mteule wa Bunge maalum la katiba baada ya kupata kura 390 dhidi ya mpinzani wake Mh.Amina Amour ambae alipata kura 126, sasa hivi bunge maalum la katiba limepata Mwenyekiti pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kudumu baada ya uchaguzi wa jana na leo.
hii ndio mwanzo wa safari ya kuelekea kupata katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Mwenyekiti wa muda Mh. Pandu Ameir Kificho kuwa Mwenyekiti wa muda toka mchakato wa huu ulipoanza.


No comments:

Post a Comment