Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 10, 2015

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAR 10.03.2015 VICHWA VIKUBWA KURA YA MAONI SHAKANI,VINARA WA RUSHWA CCM KUENGULIWA NA WANAFUNZI NDANI


PICHA 10::MANCHESTER ILIVYOKULA KICHAPO TOKA KWA ARSENAL DI MARIA APIGWA RED CARD


Manchester United playmaker Angel di Maria received a second yellow card after pushing Premier League referee Michael Oliver
The Premier League's record signing puts his hands on referee Oliver following his first yellow card for diving 
Di Maria walks off the Old Trafford pitch following his red card in the 77th minute during Manchester United's defeat at the hands of Arsenal

RAIS DKT. KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WAHASIBU WAKUU WA NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA (ESSAG)

JK2 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
JK1 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa

MWANAFUNZI WA SEKONDARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMUUA ASKARI WA JWTZ KWENYE MAPIGANO YA AMBONI TANGA

WAKAZI 10 wa jijini hapa, akiwemo mwanafunzi wa sekondari wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wakikabiliwa na makosa matano tofauti kuhusu tukio la kuwanyang’anya polisi silaha pamoja na kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Sajenti Mohamed Rashid Kajembe.

Mwanafunzi aliyefikishwa mahakamani ni Rajab Bakari (19) wa shule ya sekondari na mkazi wa Makorora jijini hapa.
Watuhumiwa tisa wameelezwa kuwa ni 

WAKUU WA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAMTEMBELEA MTOTO ALBINO ALIYEKATWA KIGANJA.

Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya, Dk. Mpoki Ulisubisya akiwaongozwa Wakuu wa Mikoa ya Mbeya na Rukwa kuelekea Wodini kumjulia hali Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana kijijini kwao juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manyanya akiwa anamwangalia

SHANGINGI LA SERIKALI LAPARAMIA UKUTA WA SHULE JIJINI DAR

 Gari ya Serikali aina ya Toyota Land Cruser yenye namba za Usajili STK 7278, ikiwa imeparamia ukuta wa Shule ya msingi Al Muntazir iliyopo kwenye makutano ya barabara ya Sea View na Barack Obama Drive,jijini Dar es salaam,mara baada ya dereva wake (jina kapuni) kushindwa kulimudu gari hilo pale alipochomekewa na gari nyingine ambayo iliingia mitini.ajali hii imetokea jioni ya leo,wakati gari hili likiwa linatokea mjini kuelekea Palm Beach.hakuna aliejeruhiwa katika ajali hii.
Wafanyakazi wa "Break Down" wakiangalia namna ya kuichomoa gari hiyo iliyoparamia ukuta wa Shule ya 

TAARIFA KUHUSU SHAHIDI WA MAKAMU WA RAIS WA KENYA

Makamu wa Rais Kenya, William Ruto ndani ya Mahakama ya ICC.
Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa mtu mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama ya Tsavo, kuwa ni wa Meshack Yebei ambaye alikuwa shahidi katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya William Ruto. kwenye Mahakama ya ICC.Mkemia wa serikali ya Kenya ametangaza kuwa mwili huo ambao ulikuwa umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti tangu mwezi December mwaka 2014 ni wa Meshack baada ya mwili huo kufanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA.
Meshack Yebei
Meshack Yebei alitekwa mwishoni mwa mwezi December nyumbani kwake 

WATU SABA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUHUSIKA KUTEKA NA KUKATA KIGANJA CHA MTOTO ALBINO SUMBAWANGA

Jeshi la polisi mkoani rukwa linawashikilia watu saba hadi sasa, kwa tuhuma za kuhusika na kitendo cha kikatili cha kukata kiganja cha mkono wa kulia, cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Baraka Cosmas Lusambo mwenye umri wa miaka sita, katika kitongoji cha kikonde kata ya kipeta wilaya ya sumbawanga vijijini, ambapo pia katika tukio hilo wamemjeruhi mtoto huyo mkono wa kushoto.

BOSI WA MAMLAKA YA USALAMA WA ANGA AJIKOROGA UTETEZI WA FEDHA ZA ESCROW KATIKA KAMATI YA MAADILI


Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti masuala ya Kiuchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dk. James Diu
MKURUGENZI wa Idara ya Udhibiti masuala ya Kiuchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dk. James Diu, amekiri kupokea kiasi cha sh. milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira, lakini “akajikoroga” kuhusu matumizi halisi ya fedha hizo.
Hatua hiyo ni baada ya Dk. Diu ambaye pia aliwahi kuwa Meneja Udhibiti Uchumi katika Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), kudai kuwa alitumia fedha hizo kwa ajili ya matibabu ya mkewe aliyefariki dunia Agosti mwaka jana, kwa ugonjwa wa saratani.
Maelezo yake yanatofautiana na yale aliyoyatoa mbele ya Kamati ya