Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 29, 2015

MAGAZETI YA LEO JUMANNE DESEMBER 29, 2015








[VIDEO] NesiWangu Show hosts ChildBirth Survival International

Harriet Shangarai, Stella Mpanda and Tausi Suedi
"Pregnancy is not an illness or disease" say Childbirth Survival International (CSI) Co-founders - Stella Mpanda, CNM and Tausi Suedi, MPH.
It is estimated at least 800 women die every day due to pregnancy, childbirth, and post-childbirth complications, most of which are preventable.
Mama Mpanda and Tausi Suedi have an informative discussion with Harriet Shangarai of Nesiwangu show (click here) and leave no stone unturned as they passionately talked about the challenges, gaps, achievements, opportunities, and shared personal stories.
This video will give you an in-depth picture of Childbirth Survival International, the amazing work the team is doing, and how you can partner to make a difference.
 For more information, visit www.childbirthsurvivalinternational.com

Kipindi cha JUKWAA LANGU Dec 28 2015 (FULL)

Photo Credits: govtech.com

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu Tanzania ya sasa na ile tuitakayo. Wiki hii ni ya mwisho kwa mwaka 2015, hivyo kipindi hiki kimeangaza baadhi ya yaliyotokea katika siasa za Tanzania. 

RIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam jana.
 Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Jeshi la Polisi lafumuliwa


Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu  
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu amelifumua Jeshi la Polisi nchini kwa kupanga na kupangua vigogo wake, huku baadhi wakipandishwa nyadhifa.
Pangapangua hiyo imewagusa pia maofisa waandamizi wa jeshi hilo walioko makao makuu, makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa (RCO) na wakuu wa polisi wa wilaya (OCD).
Habari za uhakika kutoka ndani ya makao makuu ya Jeshi la Polisi zinasema pangapangua hiyo imewagusa pia wakuu wa vikosi, wakuu wa polisi wa vituo (OCS) na polisi wa vyeo cha chini.
Akizungumza na Mwananchi jana, msemaji wa polisi, Advera Bulimba alisema: “Mabadiliko hayo ni ya kawaida ya ndani, hayana uhusiano na kasi ya Rais John Magufuli ila kazi lazima ifanyike.”
Mabadiliko hayo yamekuja ikiwa ni siku chache baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na maofisa wa polisi kwenye Bwalo la Maofisa wa jeshi hilo Oysterbay jijini Dar es Salaam na kati ya mambo yaliyotajwa ni kukumbushana utendaji, uwajibikaji na mpango wa kulifumua jeshi hilo.

NORWICHN WAICHAPA ASTON VILLA GOLI 2 KWA BILA


STOKE WAIPIGA EVERTON GOLI 4 KWA 3


WEST HAM WAICHPA SOUTHAMPTON GOLI 2 KWA 1


WEST BROM WAIPIGA NEWCASTLE GOLI 1 BIL


PICHA:::ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI KIGOMA


zit1
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Issa Machibya.
zit2
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua wakati alipozindua soko na mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28, 2015.


zit6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.

SERIKALI YAKANUSHA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII


UBADHIRIFU WA FEDHA NA RASILIMALI WAPUNGUA VIJIJINI KWA VIONGOZI KUHOFIA KUCHUKULIWA HATUA NA WAKAZI WA MAENEO HAYO.

 Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha
ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.

Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.  Ni katika mazungumzo hayo ya siku tatu, ambayo Fedson toka kijiji cha Shenda alibadilishwa na kuwa mraghbishi wa aling’amua uwezo alio nao katika kusimamia rasilimali za kijiji chao, suala ni angezisimamiaje wakati yeye si  kiongozi na ni jukumu la wanakijiji wote. Katika mazungumzo hayo rafiki yao, Chukua Hatua aliwaambia, “Ni jukumu lako Fedson na waraghbishi wengine mliopo hapa, ni jukumu lenu la msingi kuj i t aj i r i sha kwa taarifa na maarifa. Kwa kufanya hivyo mtakuwa na uwezo wa kujenga hoja mkizithibithisha na