Spika
wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa
taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha
Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati
itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia) na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wabunge wakisalimiana baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge
wa( Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi
Mashariki, John Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Picha
na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment