Taarifa
kuhusu uwezekano wa matukio ya Mvua kubwa (zaidi ya milimita 50 katika
kipindi cha saa 24 kila siku) katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya
Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara na
maeneo jirani ya mikoa hiyo kati ya tarehe 30 Januari, 2013 hadi 01
Februari, 2013.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
No comments:
Post a Comment