Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa
VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,
Joseph Simbakalia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mfanyabiashara wa Mtwara,
Fatuma Embe akichangia katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu gesi kwenye ukubi wa VETA mjini
Mtwara.
Baadhi ya
Wafanyabiashara wa Mtwara wakinyosha mikono kuomba nafasi ya kuchangia katika
mazungumzo kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu mgogoro wa gesi kwenye
ukumbi wa VETA mjini Mtwara.
No comments:
Post a Comment