Waziri
wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dkk. Shukuru Kawambwa akifafanua
jambo wakati akizindua utekelezaji wa mikakati ya “Matokeo makubwa
Sasa” ambapo kwa kiingereza unaitwa “Big Result now” katika sekta
ya elimu. Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi mpya wa mwalimu Nyerere
jijini Dares salaam, mpango huu utaongeza fursa za ukuaji wa uchumi wa
wananchi na kuchochoea ustawi kwa maisha bora kwa watanzania wote
Maafisa Elimu wa mikoa wakitoa ahadi zao kwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dkk. Shukuru Kawambwa juu ya namna watakavyoenda kutekeleza mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa”katika sehemu zao za kazi
Baadhi maafsa wa Elimu mikoa wakisaini nakala za ahadi za mpango huo (wa kwanza kulia) Afisa Elimu Mkoa wa Mtwara Bw,Hirson Kipenya , akifuatiwa na,Yusufu Kipengele, Mkoa wa Pwani , Ibrahim Mbango, Mkoa wa Manyara,wanaoshuhudi (wa kwanza kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dkt Shukuru Kawambwa (katikati) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo (wa kwanza kushoto), Naibu waziri wa Tamisemi , Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Mhe. Kassim Majaliwa

Wadau wa Elimu wakiwa kwenye mkuta huo wakati wa uzinduzi wa “Matokeo makubwa Sasa” ambapo kwa kingeleza unaitwa “Big Result now”kwa sekta ya Elimu mapema jana
kikundi cha ngoma Parapanda kikitoa burudani wakati wa uzinduzi huo leo

PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment