Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na mratibu wa Halaiki Maalim Suleiman Saleh Juma,wakati
alipowasili katika viwanja vya Beit el Ras katika hafla ya chakula cha
mchana alichowaandalia watoto waliocheza halaiki katika Sherehe za Miaka
50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(kushoto)
Waziri wa Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame
Mwadini,(kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali Bi Mwanaidi Abdalla,wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa watoto waliocheza
halaiki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman ,Ikulku.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akichukua chakula wakati alipowakaribisha watoto waliocheza halaiki
katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,kuho viwanja vya Beit
el Ras nje kidogo ya Mjini wa Unguja. [Picha na Ramadhan Othman
,Ikulku.]Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi, akiwa na katika hafla
ya Chakula cha mchana kilichowaandaliwa kwa Watoto haocheza halaiki
na kufanikisha sherehe hizo za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan
2014, wakiwepo viongozi wengine. [Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.]Baadhi
ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed
Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa kufanikisha sherehe
za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja
wa Amaani Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]Baadhi

Othman,Ikulu.]Walimu
wa Mchezo wa halaiki Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula cha Mchana
kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Beit el Ras,kwa
watoto waliocheza halaiki katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja
tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.]
RAIS SAMIA ANATARAJIWA KUZINDUA MFUMO WA MIKOPO WENYE THAMANI YA BILIONI
2.3...
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan
anatarajia kuzindua rasmi mfuko wa mikopo wenye ki...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment