Wapenzi wangu najua kila kitu kilianzia kwenye leo tena hadi
wewe kuamua kufatilia kazi zangu na kila kitu ninachofanya.Ila wanasema safari
moja huanzisha nyingine ndivyo ilivyo kwangu.Baada ya muda wa miaka nane
kuongoza leo tena na mie kuilea kwa kila hali kuhakikisha inakuwepo.Leo tena
ilikuwa maisha yangu nikilala,nikiamka,nikiwa barabarani ili mradi niwe na
jambo kwa msikilizaji wangu kila siku.Iwe ni segment mpya,topic,wimbo,jingle,yaani
chochote ambacho naona kitanogesha kipindi. Nilichukua likizo ya martenity na
niliporejea nikaambiwa dada tunakuhamishia
sehemu nyingine,TV.Daah haikuwa kazi rahisi kukubali na kuipokea niliona daah itakuwaje jamani mbona leo tena ndio kila kitu kwangu.
sehemu nyingine,TV.Daah haikuwa kazi rahisi kukubali na kuipokea niliona daah itakuwaje jamani mbona leo tena ndio kila kitu kwangu.
No comments:
Post a Comment