Aliyekuwa mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini Kenya yani Raila Odinga aliyefariku week chache zilizopita Fidel Odinga kumbe alikuwa tajiri kiasi fulani mitandao mingi ya kenya leo imesheheni story kubwa ambapo inamuhusu yeye kumiliki hotel ya kifahari iliyoko Kisumu na hapa nimefanikiwa kupata picha kadha kutoka huko
NMB Yatenga Bilioni 1 Kufadhili Matibabu ya Watoto Wenye Maradhi ya Moyo
JKCI
-
Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo imetenga Shilingi Bilioni Moja kwa miaka
minne, ikichan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment