Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.PICHA NA IKULU
RC BATILDA AHIMIZA UPIGAJI KURA TANGA UWE ASILIMIA 100
-
Na Oscar Assenga, Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dk Batilda Burian, amewahimiza Wakuu wa
Wilaya na Wasimamizi wa Uchaguzi mkoani humo, kuhak...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment