Prof,Mwandosya akiteta jambo na RC Gama mara
baada ya kukutana. |
Prof,Mark Mwandosya akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ,Angela Kairuki walipokutana katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akimpatia kipaza sauti Prof Mwandosya asalimie wajumbe waliokuwa katika ukumbi huo. |
Profesa Mwandosya akizungumza katika ukumbi huo. |
Prof Mwandosya akitoka katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaromara bada ya kusalimia. |
Prof,Mwandosya akiagana na mkuu wamkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama mara baada ya kusalimia . |
Prof,Mark Mwandosya akiondoka ukumbini hapo
kuendelea na safari ya kusaka wadhamini mkoani Arusha. Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment