Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 16, 2015

Video:Tazama matukio ya uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya uliofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya Ukumbi wa Mlimani City

Kama ulipitwa na uzinduzi wa filamu ya Mpango mbaya iliyochezwa na washiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 uliofanyika katika ukumbi wa mlimani city mwishoni mwa wiki nakuacha gumzo unaweza kutazama hapa matukio yaliyojili katika uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment