
Mlinzi wa Stars, Shomari Kapombeakichuana na nahodha wa Djibouti
Mohamed
Kadar wakati wa mpambano wa TUSKER CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kwenye
uwanja wa Taifa Stars ilishinda bao 3-0. Mabao ya timu hiyo yalifungwa
na Thomas
Ulimwengu, Mwinyi Kazimoto na Yusuf Rashid.0
(PICHA NA MOHAMED MAMBO)

Mfungaji wa bao la pili Mwinyi Kazimoto akibanwa na wachezaji wa
Djibouti Mohamed Kadar(6)na illyass Djama ili asilete madhara tena kwenye lango lao..(Picha
zote na Mohamed Mambo)

Mlinzi wa Djibouti Samatar Daouda(15) akiumiliki mpira akisaidiwa na
mlinzi wa kati Mahdi.nMoumin(18)huku wakinyemelewa na mshambuliaji wa Stars,Saidi Maulid(SMG)
Golikipa wa Djibouti Abdulrahim Youssouf akigalagala chini huku
wachezaji wenzie wasijue la kufanya
baada ya Mshambuliaji wa Stars Yusuf Rashid jezi na 14 kufunga
bao la tatu.
No comments:
Post a Comment