Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema na kuongoza mamia ya waombolezaji wa mji wa Ifakara kwenye mazishi hayo jana ambapo pia viongozi mbali mbali walishiriki.Wengine pichani ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda (pili kulia),Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia),Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera (pili kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe, na kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe.
Rais Kikwete akiongea na Spika Anne Makinda. Pembeni yao ni Naibu Spika Job Ndugai na Mh Hawa Ghasia
Viongozi wa CHADEMA msibani
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema mjini Ifakara
Vijana wa ulinzi wa CHADEMA wakithibiti umati wa waombolezaji
Baadhi ya wabunge toka vyama mbalimbali wakiwa mazishini
Umati wa waombolezaji makaburini
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe alipowasili
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa makaburini
Mdogo wa marehemu
Wanahabari wakirekodi tukio hilo
Vilio na majonzi
Pacha wa marehemu akibembelezwa
Sehemu ya waombolezaji
Kwaya ikiimba mapambio
Wazazi wa marehemu
Ibada ya mazishi ikiendelea
Salamu za Shukrani toka kwa msemaji wa familia
Wazazi wa Marehemu wakiweka udongo kaburini
Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema aliezikwa leo Ifakara Mkoani Morogoro.
Spika Anne Makinda akiweka udongo kaburini
Naibu Spika akiweka udongo kaburini
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiweka udongo kaburini
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kuweka shada la Maua kaburini wakati wa mazishi ya Marehemu Regia Mtema aliyoongoza mjini Ifakara mkoani Morogoro leo.
Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Jimbo la Morogoro aliefariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ruvu mkoani Pwani hivi karibuni .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akijiandaa kuweka shada ya maua kaburini
Picha kwa hisani ya Michuzi
No comments:
Post a Comment