Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba
(PICHA NA IKULU)
Wageni waalikwa mbalimbali kutoka nje ya nchi wamehudhuria katika maadhimisho hayo ya miaka 35 ta CCM mkoani Mwanza.
(PICHA NA IKULU)
Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda na wakinamama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa Vicky kamata.
(PICHA NA IKULU)
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Kikwete akipokea salamu za heshima kutoka kwa gwaride la
vijana wa CCM wakati wa sherehe hizo. Wengine kushoto ni Makamau
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza
Clement Mabina na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi alipowasili kwenye
Uwanja wa CCM Kirumba katika kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM,
leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka
35 ya CCM Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo wakishangilia kwa furaha
(Picha na Bashir Nkoromo)
Gwaride
la Vijana wa CCM likipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa CCM,
Rais Jakaya Kikwete wakati wa sherehe za kilele hicho. Vijana 400
wameshiriki gwaride hilo
(Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akicheza muziki wa Suma Lee jukwaani.
(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment