TAMKO LANGU G-SOLO JUU YA WALIOFEKI (23/02/2012
NI LAZIMA SUGU NA MKOLONI MNAJUA CHANZO CHA HAYA YOTE MLIYO
AFIKIANA NA RUGE NA MWISHO WA MAAFIKIANO LAZIMA YAMEKUWA NA MANUFAA
KWENU NYINYI NA SIO WASANII WA TANZANIA AMBAO TUKO KWENYE HALI NGUMU NA
NYINYI MNAJUA. NAFIKIRI NAFSI ZENU ZINAJUWA KWANINI MMEFANYA HIVI.
LAKINI SISI WENZENU TULIOBAKIA TUNAPENDA KUUAMBIA UMMA HATUJUI,
NA WALA HATUKUA TUNAJUA, NA HATUTOTAKA KUJUA, ILA MZIGO HUU WA
MAAFIKIANO NYINYI NDIO WAKU UBEBA. SERIKALINI KUNA WATU WENGI WANA
UHASAMA TENA MKUBWA, KWANINI SERIKALI ISHUPALIE KUWAPATANISHA SUGU NA
RUGE? NA NINA IMANI SUGU ANGEKUWA SIO MMBUNGE RUGE ASINGEOMBA SULUU
KWANI HATA NYINYI MNAJUA NI JINSI GANI TULI HASTLE PAMOJA SERIKALINI NA
KWENYE IDARA NYETI KUMSAIDIA SUGU APATIWE HAKI ZAKE TENA BEFORE KUWA
MMBUNGE NA ILISHINDIKANA NA SERIKALI ILISIKIA NA HAIKUSEMA CHOCHOTE NA
ILIKUWA WAZI KWELI NIGGA KADHURUMIWA KWA VIGEZO VYA USHAHIDI ALIVYOKUWA
NAVYO.
SO IMEKUWA EASY KIASI GANI SUGU KUKUBALI YAISHE? NA KWENYE HII
MOVEMENT KUNA WATU WENGI AMBAO NI FRONT LINERS KWANINI
HATUKUSHIRIKISHWA? KWANINI IWE SIRI? MNAFAHAMU KAMA HII KITU INAGUSA
MAISHA YA WATU WENGI? MNAFAHAMU KWA KILE MLICHO AFIKIANA NYINYI
KIMECHANGIA BIASHARA ZA WATU KUHARIBIKA? NA SISI HATUPAMBANI NA VIRUS
WAFU TU, BALI HATA SISI KWA SISI YEYOTE KATI YETU ATAKAYEZINGUA. SO
RUGE AMETUMIA MBINU ILE ILE YA DIVIDE AND RULE TULIYOKUWA TUNA IKATAA
NA KAFANYA HIVYO KWA KUSHIRIKIANA NA NYINYI SO MNATUAMBIA NINI?
NA MJUE UGOMVI ULIOPO KATI YA MITAA NA HAWA WAFU SIO SUGU TU, WALA
SIO MARALIA TU, NI MAISHA YA KUNDI KUBWA LA WATU WALIOWEKA MATUMAINI YA
MAISHA YAO KWENYE SANAA NA WAKALOSTISHWA KISENGE SENGE. NINACHOWEZA
KUSEMA,,,, KWAKUWA NYINYI NDIO MLITOA TAMKO LA MAAFIKIANO YENU NA HUYO
BB.. TENA NYINYI WENYEWE TOENI TAMKO LA KUKANUSHA YALE MLIYO AFIKIANA
KABLA HII KITU HAIJA WACOST NYINYI.
TUNAISHUKURU KAMATI YA BUNGE, MH TINDU NA MH NCHIMBI KWA KAZI KUBWA
MLIYOIFANYA KUWAPATANISHA HAWA JAMAA ILI HATA KWENYE TARATIBU ZA
KUTAFUTA VAZI LA TAIFA WAFANYE KAZI PAMOJA KAMA ILIVYOKUWA INATAKIWA
ILA, ILA INGEKUWA VIZURI ZAIDI KAMA MNGETUSHIRIKISHA WOTE WENYE VILIO
JUU YA WAFU NA VIRUS WALIYOKO MEDIA HOUSES NYINGINE. AU LA, INGEKUWA
POA ZAIDI MKATUMIA MUDA KAMA HUO MLIO UTUMIA, MMBADILISHE SYSTEM NZIMA
YA SHERIA YA HAKI MILIKI. NA SISI MADAI YETU JUU YA SANAA SIO STUDIO
TU, WALA SIO VYAMA TU, NI MAMBO MENGI TENA YA MSINGI IKIWEMO SHERIA YA
HAKI MILIKI AMBAYO BADO MBOVU NA NDIO INAYOTUANGAMIZA…. TUNASHUKURU ILA
SISI HARAKATI ZETU HAZIJAFIKIWA MAAFIKIANO NA HII ISSUE ISIGEUZWE
KISIASA HUYO VIRUS AJIUZULU KAMA ALIVYO JIUZULU MH LOWASSA…G-SOLO
RAIS AOMBOLEZA KIFO CHA NDUGULILE WAKATI WA KIKAO KAZI JIJINI ARUSHA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa
Mbunge...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment