Mchezaji
wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya
Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu
iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini matokeo yamekuwa 0-0.
Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao
walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri.
Kukosekana Sera ya vijana kumiliki Ardhi, sababu kuu ya Migogoro ya kisiasa
Afrika
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
WASHIRIKI wa kongamano la nne la kimataifa kuhusu changamoto ya umiliki wa
Ardhi kwa vijana barani Afrika (CIGOFA4), wamesema mig...
38 minutes ago
No comments:
Post a Comment