Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, April 30, 2012

BREAKING NEWSSSSSSS:RICH ONE AKAMATWA KWA KOSA LA KUJIFANYA ALLY KIBA



Richone amefikishwa kwenye kituo cha polisi Msimbazi Dar es salaam muda mfupi uliopita kwa tuhuma za kutapeli, kula hela za watu akijifanya yeye ni mwimbaji Ally Kiba ambapo inaaminika yeye (Richone) alifanya utundu ambao Kiba akipigiwa simu haziendi kwake, zinakwenda kwenye simu ya Rich ndio anazipokea na kula hizo pesa za show.
                                    picha kwa hisani ya millard ayo website

2 comments: