Kundi la THT likitumbuiza katika tuzo hozo usiku huu.
Wadau wakiwa katika hafla hoiyo ya kutoa tuzo za muziki kutoka kulia ni
Steven Nyerere mchekeshaji, Meneja huduma kwa wateja wa Multchoice
Ronald Shelukindo, Frank Mgoyo na wadau wengine.
Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na Sinta mwigizaji wa zamani.
Kulia ni Taji Liundi na mbunifu wa mavazi Asia Idarous wa Khamsini.
Mdau Kelvin Twisa ndani ya nyumba pia.
Meneja wa kinywaji cha Redds Vicktoria Kimaro akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni wadau Benny Kisaka, Mabakila, Evance na Juma Pinto.
Kulia ni Oscar Shelukindo na kushoto ni Kabula Nshimo kutoka TBL na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo.
Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro George Kavishe kulia na Mumongae kutoka TBL.
Kutoka kulia ni mdau Henry Mdimu, na kushoto ni Juddy Moshi.
Mdau Nick Butty yupo ndani ya nyumba pia.
kwa hisani ya fullshangwe blog
No comments:
Post a Comment