Msemaji wa wanajeshi waliyofanya mapinduzi hayo Bakary Mariko, alisema walinzi wa rais Traore waliua watu watatu katika uvamizi huo japo taarifa nyingine zinasema walinzi hao walikaa na kutizimana huku wananchi hao wakijivinjari katika viwanja vya Ikulu, huku wengine wakionekana kuegesha pikipiki na baiskeli zao katika eneo la ikulu na kuchana picha za rais Traore.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
1 hour ago




No comments:
Post a Comment