skip to main |
skip to sidebar
MAWAZIRI WAPYA WANAOENDELEA KUTAJWA
MAWAZIRI WAPYA
Samweli Sitta anaendelea
Nahodha anaenda Ulinzi
Magufuli anaendelea ujenzi
Mwinyi anaenda afya na ustawi wa jamii
Kawambwa elimu na mafunzi ya ufundi
Sophia simba anaendelea
Chikawe anarudi katiba na sheria
Nchimbi anakuwa mambo ya ndani
Matayo anaendelea
Mbawala anaendeea
Tibaijuka anaendelea
Chiza kilimo, chakula na ushirika
Maghembe anakuwa waziri wa maji
Mwakyembe analuwa uchukuzi
Mkandara anakuwa waziri wa habari
Kagasheki maliasili na utalii
Kigoda viwanda
Mgimwa, anakuwa waziri wa fedha
Mak mwandosya hana wizara maalumu
No comments:
Post a Comment