Anafahamika
kama Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small ambaye hivi sasa
amelazwa kwenye hospitali ya Amana kwa matibabu ya afya yake baada ya
kupata ugonjwa wa ghafla aliporejea Dar kutoka kwenye ziara yake mkoani
Mwanza Mei 21 mwaka huu. Mzee Small ambaye alikuwa na Bi. Chau mkoani
Mwanza alipatwa na ugonjwa ambao haukuweza kufahamika haraka baada ya
kurejea nyumbani kwake Tabata ambapo baada ya kufika alionekana kama
amechanganyikiwa huku akiwa hawezi kuongea na mkono wake mmoja ukiwa
unashindwa kufanya kazi kama kawaida yake, Lakini alipofikishwa
hospitali Daktari alisema
SERIKALI YAIPONGEZA GGML KWA MCHANGO WAKE WA MIAKA 25 KATIKA SEKTA YA
MADINI NCHINI TANZANIA
-
Mheshimiwa Dkt. Steven L. Kiruswa, Naibu Waziri wa Madini, akipokea kitabu
cha kumbukumbu (legacy book) kilichoandaliwa kuadhimisha miaka 25 ya Geita
Gold...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment