
Ben Kleb akimkabidhi jezi Haruna Niyonzima |
Lakini sasa kwa taarifa nilizozipata
kutoka kwa mmoja ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi wa Yanga, amethibiisha
kwamba Manji amejichukulia fomu mwenyewe ya kugombea uenyekiti, huku
akimchukulia aliyekuwa mjumbe wa kamati ya usajili Abdallah Ahmed Bin
Kleb fomu za kugombea umakamu mwenyekiti.
HABARI KWA HISANI YA SHAFFIH
No comments:
Post a Comment