Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 13, 2012

MATUKIO BUNGENI DODOMA JANA,NA PICHA ZA KUAPISHWA WABUNGE WAPYA WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI


Waziri Mkuu, Mizengo pinda  akizungumza na  Mbunge wa Viti Maalum  Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto)  na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012.
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Juni 12, 2012
Mbunge waKuteuliwa Saada  Mkuya  Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu  Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini  Dodoma  Juni 12, 2012. 
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter  Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment