Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 9, 2012

MKUTANO WA CCM JANGWANI JIJINI DAR ES SALAM LEO


Maelefu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika  jioni hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.
Maelefu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika  jioni hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment