Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 7, 2012

SAKATA LA KELVIN YONDANI: YANGA YATOA USHAHIDI WA PICHA


Mchezaji Kelvin Yondani akisaini mkataba wa usajili mbele ya kiongozi wa Yanga Seif Ahmed usiku huu, katika picha hii Yondani anaonekana akiwa amevaa fulana na timu ya taifa ambazo zimeanza kutumika mwezi mmoja uliopita baada ya stars kuingia mkataba na TBL KUPITIAKilimanjaro.
Taarifa nilizozipata hivi punde Yondani amefuatwa kwenye kambi ya timu ya Taifa iliyopo kwenye Hotel ya Tansoma jijini Dar Es Salaam. PICHA HABARI KWA HISANI YA SHAFFIH DAUDA

No comments:

Post a Comment