Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 7, 2012

"WAKALI KWANZA" WARUDI TENA.



Kuna rumorz kitaani kuwa kundi la wakali kwanza ambalo liliwahi kufanya vizuri kwenye music biz tanzania, nazungumzia kwenye mwaka 2006 -2009, baadae jamaa wakapotea , nawazungumzia kina Josline, Makamua na Q –Jay, sasa hivi jamaa wamejikusanya tena wakaingia studio, baada ya hapo wakapiga kichupa, tayari nimeshakichungulia ingawa video bado haijatoka, wapo wote kasoro mtu mmoja tu na pengo lake limezibwa na mwanadada Kekuu kutoka r chuga na mmoja wa member ambae hayupo Wakali kwanza ni Q.

No comments:

Post a Comment