Bahari ya kisiwa cha FAROE kila mwaka ifikapo tarehe 22 mwezi wa 11
hubadilika na kua nyekundu kutokana na utamaduni wa wakazi wa kisiwa
hicho wa wa kuadhimisha siku ya kitaifa ya uwindaji wa NYANGUMI.Sikukuu
hiyo ya kitamaduni imepewa jina la GRINDADRAP.Uwindaji huo wa NYANGUMI
si kwa ajili ya malengo ya kibiashara kwa sababu nyama za nyangumi hao
hugawiwa kwa wananchi wote wa kisiwa hicho.Wavuvi hao huwaburuza
NYANGUMI hao hadi pembezoni mwa bahari na kuwakatakata mapande ya nyama
na kuacha damu ikitiririka kuelekea BAHRINI na kusababisha BAHARI hiyo
kuwa na rangi nyukundu.
Kampeni ya Chanjo ya Polio Yalenga Kuwafikia Watoto 207,096 Jijini Dodoma
-
Na. Mwandishi wetu, DODOMA
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,
imewataka wananchi wa Jiji la Dodoma kujitokeza na kuw...
7 hours ago


No comments:
Post a Comment