BWENI la wasichana wa shule ya Morogoro Sekondari kwa sasa linaendela kuteketea
na Moto huku wanafunzi kibao wa kidato cha 5 na 6 waliokuwa kwenye bweni hilo
wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospital habari zaidi na picha za tukio hili
endela kuwa na mimi
Mkuu wa shule ya
morogoro sekondari Thomas Chihwalo[aliyenyoosha mikono] akimaelezo wa tukio
hilo kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera [kati[ na mbunge wa jimbo la
Morogoro Aziz Abood uskuu huu
Bweni hilo
likitetekea na moto huo
Gari la kikosi cha zima moto likiendele kuuzima
moto huo sasa hivi
Baadhi ya
mnafunzi wamepoteza fahamu baada ya kunusurika kwenye janga hilo
Baadhi ya wanafunzi wakiokoa mali zao
Chanzo: Danstan Shekidele Morogoro







No comments:
Post a Comment