Abdallah
Hamis Ambua wengi tunamjua kwa jina la Mjukuu wa Ambua Mtangazaji wa
kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio & TV leo majira ya
saa 9 alasiri amempoteza mwanae wa kwanza wa kiume kuzaliwa. Mtoto
huyo ambaye alikuwa na siku moja toka kuzaliwa hiyo jana mchana.
Na hivi ndivyo ilivyokutwa kwenye facebook ya Dullah
Leo majira ya saa tisa alasiri ndipo ilipo patikana taarifa kutoka kwa rafiki kwa watu kuwa mtoto wa Dullah amefariki dunia
Inna Lillah wainna Ilay Rrajiuun


No comments:
Post a Comment