Mchezaji wa kiungo wa Mali Seydou Keita amekihama klabu cha Barcelona baada ya kukichezea kwa miaka minne.
Wakati wakithibitisha kuondoka
kwa mwamba huyo, Barca walimishukuru Seydou Keita kwa juhudi zake za
kuletea klabu hicho cha Uhispania mafanikio na vile vile wakamtakia kila
lakheri anakokwenda.Katika muda huo wa miaka minne, Keita aliisaidia Barcelona kuzoa jumla ya vikombe 14.
No comments:
Post a Comment