Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mkuu wa mkoa wa Moropgoro, Joel Bendera (kulia) wakishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa mbunge wa zamani wa jimbo la Kilosa na Mwenyekiti wa mkoa huo, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo, Wami Dakawa, wilayani Mvomelo, Morogoro. Alhaji Shaweji alifariki jana.
JENGO LA MAKAO MAKUU WMA KUKABIDHIWA FEBRUARI 10, 2025, UJENZI WAFIKIA
ASILIMIA 95.2
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil
Abdallah,ameridhishwa na ujenzi wa Jengo la Wakala wa Vipim...
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment