|
MSOMI
wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku huu ameibuka Miss
Vyuo Vya Elimu ya Juu katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa
Club Maisha, Dar es Salaam. Katika shindano hilo, ambalo majaji wake
walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania, Fatuma Ramadhani wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya pili na Fina Recatus
wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alikuwa wa tatu.
Aidha,
Jane Maluli alikuwa wa IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii
alikuwa wa tano. Pichani ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa
pili Fatuma na kulia mshindi wa tatu Fina.
|
|
Renatha Richard katika vazi la ufukweni |
|
Theresia Isaya |
|
Migeshi Boniface
|
|
Viginia katika vazi la ufukwen |
Fatuma Ramadhani vaizi la zufukweni
|
Washindi |
No comments:
Post a Comment