MRADI
wa ujenzi dampo la kisasa wenye thamani ya shilingi bilioni 3
unofadhiliwa na benki ya dunia katika jiji la Arusha, upo hatari
kuyeyuka kufuatia wananchi wa kata ya Muriet manispaa ya Arusha kugoma
kupisha eneo la mradi huo licha ya kulipwa stahili zao .
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
19 hours ago


No comments:
Post a Comment