Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.IMEANDIKWA NA MAGGID MJENGWA
CRDB YARAHISISHA UPATIKANAJI WA MIKOPO KWA WAFUGAJI
-
Wafugaji nchini wameendelea kunufaika na huduma za kifedha baada ya
kuongezeka kwa uelewa wao kuhusu masuala ya fedha na uwekezaji, hatua
iliyowezesha ku...
16 hours ago

No comments:
Post a Comment