Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 16, 2012

BARABARA YA ZA ISANGA JIJINI MBEYA NI MASHIMO MATUPU


Hii ni barabara ya isanga inayoanzia makunguru mpaka kwenda kukutana na barabara ya kwenda chunya

kwaujumla barabara hii kwa sasa haifai kabisa na imewaongezea matatizo wakazi wa isanga kwani kukodi gari ndogo kwenda isanga ni gharama kubwa sana kutokana naubovu wa barabara


Haya sasa ni mahandaki si mashimo



Hii ndiyo hali halisi ya barabara za isanga jijini Mbeya


Mamlaka husika wasaidieni wakazi wa isanga maana sasa usafiri wao mkuu ni bajaji gari za abiria zimegoma kabisa kwenda njia hiyo kutokana na ubovu wa barabara hii  source http://mbeyayetu.blogspot.com  

No comments:

Post a Comment