Lile shindano la Bibi Bomba lilokuwa likiendeshwa na Clouds TV
limefikia kilele chake dakika chache zilizopita na Bibi Veronica
Mpangala kuibuka mshindi kwa kuwazidi wenzake kwa mbali sana kama graph
inavyoonesha kwenye picha zinazo endelea. Bi Veronica amejishindia Tsh
5,000,000/= pamoja na zawadi nyingine. Nafasi ya pili imeshikwa na Anna
Said a.k.a Mzee wa Dongo na kupata Tsh. 3,000,000/= wakati nafasi ya
tatu ikishikwa na Bi. Nasra Mohamed ambaye ameshinda Tsh. 1,500,000.
Washiriki wengine walioingia kwenye 8 bora walijipatia zawadi ambazo
hazikutajwa.
SERIKALI KUPITIA REA KUZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
-
📌Kituo cha Kupoza Umeme Mtera
📌Mradi wa Kusambaza umeme katika vitongoji 9,009
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua ...
44 minutes ago





No comments:
Post a Comment