Wednesday, August 1, 2012
BRAND NEW TRACK TOKA KWA JAMES COLOUR NYIMBO INAITWA GANGSTAR ENJOYYY
jina la nyimbo ni gangstar,artist james colour,studio robbies records chini ya producer prince jerlome,, aaah ngoma inajaribu kuongelea maisha halisi ya mtaa ambayo tunakutana nayo kila siku na kujaribu kuelezea matarajio ya wengi kuona nafeli kimziki pia,na kuonnyesha huu mziki ninaujua kwa kiwango gani thus niaksema am gangstar mi naflow mi na go comandoo wa mitaa ya kati mi na go,,just hip hpo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment