Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 21, 2012

DK.Dalali Kafumu Avuliwa Ubunge Igunga!.Uchaguzi kurudiwa


Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge
Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.

No comments:

Post a Comment