skip to main |
skip to sidebar
Dude Avamiwa na Majambazi......
|
Dude |
Msanii
maarufu wa filamu nchini Tanzania Kulwa Kikumba almaarufu kama DUDE
amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo tareh 8/8/2012 kwake
anapoishi Uwanja wa ndege jijini Dar es salaam....akiongea
na thisisdiamond dude alisema kua yeye alikua yuko Kinyerezi katia
harakati zake za kushut muvie usiku huo ambapo alimuacha mkewe na watoto
wake watatu wakike wakiwa nyumbani usiku huo... alisema kua baada ya
familia yake kula daku na kwenda kulala mida ya saa 9 usiku ndipo
Majambazi hao waliingia na kupulizia sumu ndani ya nyumba hiyo ili
waendelee kulala wasishtuke waanze kuiba... wezi hao walifanikiwa kuiba
kila kitu ikiwemo
Nguo,Muziki,Tv,Baloo la nguo la duka la dada yake kutoka china alokua
akiweka kwake kwaajili ya usalama na kadharika.... alisema wezi hao
waliiba hadi vyakula vilivyobaki na gunia la mchele....asubuhi ya saa
moja ndipo familia hiyo iliamka na kukuta kila sehem kweupe watu
wamekomba na milango yote iko wazi, ndipo bwana mkubwa wakampigia na
kumpa taarifa hizo.....
No comments:
Post a Comment