Kocha wa Azam, Bors Bunjak kutoka Serbia kulia, akiwa na Msaidizi wake, Vivek Nagul kutoka India |
Maofisa wa Bank ABC wakikagua timu |
Kocha wa Simba B, Suleiman Matola kushoto na Msaidizi wake Amri Said |
Kikosi cha Azam |
KIkosi cha Simba B |
Bao la kwanza Simba SC wanashangilia |
Kipre Tchetche kushoto |
Abdi Kassim 'Babbi' kushoto akituliza mpira kifuani |
Haroun Athumani wa Simba kulia akmipiga krosi mbele ya Ibrahim Shikanda na Abdulhalim Humud |
Chrtipher Edward aliyepiga magoti akiinuka baada ya kuangushwa na Luckson Kakolaki kulia, kabla ya kupiga penalti iliyozaa bao la pili |
Simba wanashangilia penalti |
Mpira unaenda nyavuni; penalti ya Christopher Edward |
No comments:
Post a Comment