Sherehe
za ufungaji mashindano makubwa duniani zafanyika kwa amani na michezo
ilikuwa ya amani,hakuna mauaji wala hila zozote za ughaidi.Hata bendera
yetu ilikuwepo hapo.
MUZIKI KAMA KAWAIDA YA WAINGEREZA.
Vijana wanasauti nzuri One Direction.
Huyu naye alitembea juu ya paa la uwanja wa olimpiki na kufanya maajabu juu.
No comments:
Post a Comment