Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 7, 2012

SERIKALI YA KOREA YATOA MAGARI MAWILI YA KUBEBEA WAGONJWA MKOA WA PWANI


Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza amezindua  magari mawili ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani magari hayo yametolewa na serikali ya korea kupitia Rotary intenational club ya tanzania magari hayo yana thamani ya shilngi milioni mia mbili thelathini za kitanzania kulia ni Jinyong Kim kutoka shirika la kimaendeleo la korea (koika) aliye kushoto ni mwakilshi wa rotary club tanzania bwana  Bill bali  nyuma yao ni mganga mkuuwa hosipitali ya tumbi Dr Petar datani  na aliye nyosha mkono ni mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu kibaha Dr Cyprian mpemba  hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyikia katika hospitali ya tumbi kibaha Picha na Chris mfinanga

No comments:

Post a Comment