Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba
wakati walipokutana Mkjini Mpanda Agust 30,2012.Mwalimu Kasalamimba
alimfundisha Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1960darasa la tatu katika Shule
ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
2 weeks ago

No comments:
Post a Comment